Nitapata wapi trekta la kunisaidia katika shughuli zangu za kilimo

check YOUR FINDER LTD,watakupa trekta nzuri kwa bei nafuu MF 165 hadi 365,na ford 6610 ambazo ni trekta imara ever
 
Aina hizi mersey ferguson 135,165 na 290 zipo ok na spare zake nyingi na nafuu...ila kuna Ford 3000,4000,5100,6100 haya tunaita jiwe yana nguvu na imara zaidi na zaidi ila spare zake upatikanaji wake sio rahisi sana kama MF...mimi natoa South Africa sema mwezi ujao mwishoni zitakua zimefika Tanzania kama utakua haujapata tuwasiliane...
 
check YOUR FINDER LTD,watakupa trekta nzuri kwa bei nafuu MF 165 hadi 365,na ford 6610 ambazo ni trekta imara ever
Ni kweli MF na Ford ni imara sana na yanamudu vizuri ardhi ya Tanzania. Na jembe tafuta Chapa Samaki.
 
Back
Top Bottom