Habari zenu! kwa wale wakazi wa iringa wenye migahawa pamoja na matumuzi ya nyumbani, nauza maziwa ya ng'ombe fresh na mgando.
Lita moja ya maziwa freshi tshs 1,500/= na maziwa mgando lita moja...
Habar wanaJF, natafuta mtu au kampuni ambayo ninaweza ingia nayo ubia wa jenga residential building au commercial building nina plot maeneo ya Kariakoo kwa maelezo zaidi inbox me.
Education is a great and profitable investiment, but only if you have a good reckord keeping and accounting system. unfortunately these are expensive , time consuming and prone to fraud. Our...
AGRICULTURAL MACHINERY,FIAT,BORMAG ROLLER,PERKINS MACHINES,BENZ n.k
Mchanganuo wa gharama ni kama Ifuatavyo
1.Magari madogo ya Japan - $30=30 × 2195=Tshs.65,850/=
2.Magari size ya kati- $50=50 ×...
ninauza Rav4 ikiwa katika hali nzuri sana.
Gari ni automatic
milango mitano
AC inafanya kazi vizuri
Model ya mwaka 2000
bei ni milioni 8.5
Maelewano yapo.Nitafute tufanye biashara 0656497469
Bidhaa-Bati za msouth,kawaida mkunjo na vigae(natural stone coated)
Upana -107cm,97cm,110cm na 87cm
Urefu -kuanzia meter moja mpka utakao wewe
Gauge -28 na 30
Material -Alozinc
Bei- pata kwa bei...
Bidhaa-Bati za msouth,kawaida mkunjo na vigae(natural stone coated)
Upana -107cm,97cm,110cm na 87cm
Urefu -kuanzia meter moja mpka utakao wewe
Elimu ya kujua bati bora
Gauge -28 na 30
Material...
NISSAN DUALIS
Year: 2008
Mileage: 95000km
CC: 2000
Fuel: Petrol
Color: Beige
Transmission: AT
Location: Japan (inachukuwa siku 23 hadi 30 kutoka Japan hadi Dar)
Price/Bei: Tsh milioni 25...
wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu ninauza samsung galaxy s4 ambayo ni bado mpya..
Model ni I900
Storage ni 16gb
ram ni 2bg
bei ni laki mbili 200k contact 0659944288
Bidhaa-Bati za msouth,kawaida mkunjo na vigae(natural stone coated)
Upana -107cm,97cm,110cm na 87cm
Urefu -kuanzia meter moja mpka utakao wewe
Gauge -28 na 30
Material -Alozinc
Bei- pata kwa bei...
Hello wanajamvi!
Naombeni msaada kujua ni wapi hasa linapatikana soko la nguruwe lenye uhakika hapa Tanzania kwa maana ya wanunuzi wazuri nk
Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.