Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bajeti yangu ni milioni 10. Nicheki inbox kama inapatikana. Ubarikiwe.
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu wa nchi Wapi nitapata hii juice please .niko USA RIVER ARUSHA TANZANIA
0 Reactions
0 Replies
802 Views
  • Poll Poll
Wapandwa Kwa sasa sina tena bidhaa hii
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Iko vzur sana kimuonekno na hata kiufanisi wa kazi, imetumika miezi nane but bado inadai. Ila battery lake haliko strong sana... So kama uko interested call,text or whatsapp +255713943432 Nipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu linahitajika shamba kuanzia ekari 20 hadi 50, bagamoyo hasa kuanzia fukayosi hadi kiwangwa. Shamba liwe lenye rutuba na linafikika kirahisi majira yote ya mwaka. Shamba lisiwe na mgogoro na...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Shule yoyote ya kidato cha kwanza hadi sita itakayopenda kurahisishia umma, wazazi na wanafunzi wao, kupata Joining Instructions kila mwaka. Matokeo kila nusu mwaka na mwishoni mwa mwaka...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Msaada kuhusu wanunuzi wa asali Msaada kuhusu wanunuzi wa asali
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Kwa atakaemind ani is,or, item,,,beimaelewano vat full aid,
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Natafuta mayai ya kuku wa kisasa, yawe makubwa. Nahitaji tray 1,000/- kwa wiki. Call me via 0717/ 0767 454455 na 0754810853 Let us do business together
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Nauza nissan extrail ipo imetembea km 98600 ipo vzr
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Gari aina ya Ipsum inauzwa mil 8.5 , mawasiliano 0657424400, nipo mbezi inn,dsm.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji mafundi cherehani watatu ambao ni mafundi haswa wa nguo za kike na mmoja wa nguo za kiume hasa mashati. Wasiliana na Mimi kwa namba 0769334999
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu ni mpya Kabsa n imetumia wiki 2 Niko Dar bei 220k haipungui
0 Reactions
1 Replies
558 Views
Mambo zenu wakuu, nauza Toyota starlet Carat 6.5 Milioni, ina mziki, AC, haina tatizo kbs. Kwa muhitaji awasiliane na mm kwa simu namba 0717 54 73 25. Pia tunaweza kubageni.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari? Nahitaji 'gearbox manual... ' inayofungwa kwenye Engine 4EFE (eg starlet), iwe 5 speed. Mwenye nayo anijulishe ili tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Wadau nahitaji kuongeza biashara hii kwenye hardware, kwa nahitaji gypsum board, mikanda, fibre tape, angle na maua! Kwa wenye uzoefu wapi nitapata kwa bei nzuri??
1 Reactions
9 Replies
7K Views
DATA ANALYSIS TRAINING Universal Consultancy imeandaa training ya Data Analysis kwa Wanafunzi wa Undergraduate,Masters na watu wa kawaida wanaohitaji mafunzo ya Research and Questionaire design...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BEOONPUSH FOR THE GOOD LIFE HEY GUYS ITS ANOTHER DAY AM COMMING TO YOU TO GIVE YOU THIS WONDERFULLY opportunity CALLED BEONPUSH JUST JOIN IT FOR FREE AND BAY YOUR PACK THERE IS DIFFERENT...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Habari za week end wakuu? Natafuta mashine iliyotumika ya kujazia upepo wa tairi za magari/compressor. Kwa yeyote anayeuza au anayefahamu inapouzwa an pm kwa mawasiliano zaidi tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni pamoja na vitu vingine kama vile TELEVISHENI, CAMERA, LAPTOP, DESKTOP, HOME THEATER, PLAYSTATION, MEMORY CARD, FLASH, POWER BANK. n.k kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0652971495
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom