Nahitaji mkopo mdogo(Urgently)

pinnah

New Member
Jun 4, 2014
3
1
Habari ndugu,

Nahitaji mkopo wa 500000 ndani ya 24 hours ambao nitalipa tarehe 4 kwa riba ya asilimia 20. nina tatizo urgent. tafadhali niko serious.

Ninamiliki biashara iliyosajiliwa, kwa uaminifu zaidi mkopeshaji anaweza pajua ofisini.
 
Hata mimi ninahitaji mkopo wa 1,000,000 kwa mwezi mmoja.Riba maelewano,nipo dar es salaam.
 
Back
Top Bottom