Natafuta nyumba ya kupanga

kengeledoi

JF-Expert Member
May 27, 2016
325
230
Msaada wadau natafuta nyumba ya kupanga chumba na sebule yenye choo cha ndani.
maeneo ya kimara ila isiwe mbali na main road pia maji yawepo.

Asanteni sana.
 
Unataka Nyumba yenye maji Kimara? Be specific ya bomba au ya kisima??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom