Nauza uwanja

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
239
160
Nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu nauza uwanja wangu upo vikindu njia ya kwenda Vianzi mwendo wa dakika 4 kwa pikipiki kutoka vikindu madukani ukubwa ni 62/58 futi ndani ya eneo kuna matofari 2600 na shimo la choo nilianza kuchimba nauza 10ml kwa atakayehitaji 0716671919, 0683715151

Kwa wasiojua vikindu ipo mbele ya Mbagala dk20 kwa gari kutoka Mbagala Rangitatu

1465914713924.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom