Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Zikishazimwa simu zenu kuanzia tare.17 Juni mnitafute, mjipatie smartphones za ukweli brandnew kwa chiep Price. Kule kupatana wananiita 'Vunja bei'. #0654776976
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mjasiriamali ambaye nataka kuanza kuuza asali ndani na nje ya nchi,nimefatilia na kupata wakulima wa asali na sasa natafuta soko la asali.Naomba kwa yeyote anayefahamu anijulishe.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
PROPERTIES: (1) UN rd by the main rd, 1595sqm plot, price 2.5million USD (2)Kinondoni close to Kawawa rd, sqm 2831 plot, price 2.3millon USD (3) Geza beach plot 10Acres, price 2.5million USD...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Gari iko vizuri sana na haina tatizo lolote Ina 4wd AC iko safi Automatic gear Inatumia petrol Power windows Model ya mwaka 1997 Bei ni milioni 9 tu. Angalia picha ukipenda karibu tufanye biashara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana) Gauge 28-9500/m Gauge 30-8000/m Mabati ya mikunjo(Versatile) Gauge 28-12500/m Mabati migongo modogo(corrugated) ya rangi Gauge 28-27000/piece,gauge30...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari wakuu. Natafuta IST(TOYOTA) yenye sifa hizi: 1.Iwe namba C au D 2.Jina la muuzaji liwe kwenye kadi 3.Bei isizidi milioni sita(6,000,000/-) Simu:0713-039875 au 0784-976570
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Piga #0713250276
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau nauza gari yangu Nissan civilian no T 262 CRY Ipo katika hali nzuri inafanya kazi, vibali vyote vipo ok Haina deni Bei ni 22m Maongezi yapo Cm 0744651899
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna jamaa yangu anauza printer ya picha Kama unaihitaji bei 200000
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Habari naomba namba kwa aliye na namba ya wauzaji wa majiko ya moto poa natakuliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu.Mimi ni mtaalamu wa software nafanya kazi maeneo ya posta.Naishi jirani na geti la daraja jipya la kigamboni. Nina ombi moja. Natafuta jamaa anayepita na gari kuanzia saa moja kamili...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana) Mabati ya mikunjo(Versatile) Mabati migongo modogo(corrugated) ya rangi na meupe Kofia na valley -Misumali ya bati kila rangi -Gauge 28 na 30 -upana...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Jamany watu wangu wa nguvu naitwa mwalimu Mahamba nipo manispaa ya Tabora idara sekondari ,natafuta MTU wa kubadilishana naye kituo cha kazi mm nije busokelo na yy aje tabora,naomba kama kuna MTU...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Wakuu amani iwe nanyi. Kama tittle invyoonoesha. Nahitaji kukodi fuso ya tani 10 kwa ajili ya kubebea bidhaa ya unga wa mahindi mkoa wa marogoro na Iringa. Nikikabidhiwa gari hiyo nitalipa hesabu...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Maharage mekundu yanauzwa IKG=1420 Gunia 1 lenye 100KG=142,000/=Tsh Nina magunia zaidi ya 30. Ninahitaji mununuzi wa kununua magunia yote. Maharage yapo Arusha mjini Mawasiliano 0752489529
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Tunatafuta designer mzuri wa kututengenezea website ya kampuni yetu
0 Reactions
2 Replies
835 Views
Habari wanaJF natafuta mtaalamu wa Tally Accounting Package anifanyie connection, anitengeneze chart of accounts na nimuulize kuhusu some features. Naombeni mnisaidie.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, kwa wale Wanaohitaji Spanish tiles orijino, kwa bei che, mzigo unapatikana wa tiles ya 45 X 45 cm, red paste. Square metre ni vigae tano. Square metre inaanza @tsh 35000, bei inapungua...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Naomba kujuzwa wapi nitapata shamba la kununua au kukodi Ruvu Msaada pliz Nataka kulima mpunga, na mazao mengine yanakubali
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mie ni kijana mwenye miaka 27,natafuta chumba na sebule vya kupanga maeneo yafuatayo ndani ya Mwanza, 》 CCM kirumba 》Kirumba police 》 Mabatini (kusiko na mafuriko) 》Malimbe au SAUT 》Mwaloni 》 Na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom