Tingitane
Senior Member
- Apr 18, 2012
- 116
- 131
Habari za asubuhi.
Naomba kufahamishwa gharama za kujenga msingi wa jengo lenye ghorofa kumi kwenye kiwanja cha sqm 400.Naomba ifahamike hapa kwamba kiwanja kitakuwa "full utilized"
Naomba engineers tafadhari ushauri wenu wa kitalaam. Kwa kuongezea jengo lenyewe litakuwa mahusus kwa ajili ya kuishi " apartments".
Ahsanteni.