Jamani naulizia soko la matunda ya mapension na mananasi.

mkolaj

JF-Expert Member
Mar 24, 2014
3,020
1,087
Habarini wanajf!
Niko Mtwara vijijini na huku niliko kuna kilimo cha matunda aina ya mapensioni pamoja na mananasi, mwenye kufahamu lilipo soko la matunda haya kwa mkoani Mtwara pamoja na lindi anijuze.
Mawasiliano yangu, 0673917387. Kama kuna member humu anafahamu lilipo soko aniunganishie tafadhali.
 
Nitashukuru sana kama kuna mtu ataniunganisha, bidhaa ipo ya kutosha.
 
Yalete Tanga.Naskia hivi karibuni kuna kiwanda cha kusindika matunda kitajengwa! Chezea hapa kazi tu?
 
Back
Top Bottom