Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunahitaji gari ndogo ya kukodi kwa kutwa maelewano km sh 25,000 per day(120 km limit per Day) ikiwezekana na deposit kama security tutaweka ndani ya jiji la Dar 35 km radius na inaweza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jamvi natotolesha vifaranga vya kuku wa kienyeji kwa order bei ya kifaranga kimoja ni tsh 1500.karibuni sana nipo sinza dar.Pia kama una mayai yako tunatotolesha kwa sh 10000 kwa trey...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JMK ROYAL SERVICES Agent of Building Materials tunakuletea tiles za TwyFord(better tile,better life) Tiles za kila aina zote(za ukutani,chini,jikoni,bafuni,na ukuta wa nje ya nyumba) upendazo kwa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Shamba lipo umbali wa km 31 kutoka Kigamboni lina ukubwa wa hekari 23, limepimwa lina offer piga simu 0755250190 kwa maelezo zaidi
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau natafuta dada wa kufanya kazi ya kutoa dawa kwenye duka langu la dawa muhimu. Duka Liko pembeni mwa jiji la Dar. Kama kuna mtu anatafuta kazi hiyo anitafute kwa kuni Pm
0 Reactions
1 Replies
912 Views
JMK ROYAL SERVICES Agent of Building Materials tunakuletea tiles za TwyFord(better tile,better life) Tiles za kila aina zote(za ukutani,chini,jikoni,bafuni,na ukuta wa nje ya nyumba) upendazo kwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wadau wa jf. Natafuta pikipiki used. Iwe ya Kijapani au KKihindi. Nitumie private msg kama unaweza kusaidia katika hili
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Kuanzia leo tunaanza biashara ya mikeka Tutaenda kwa rules 5 1. Tutaweka mikeka miwili tu + bonus 1 ambapo huu wa bonus utaweka hela ndogo ambyo haipaswi kuwepo kwny mahesabu 2. Mkeka 1 utakuwa...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Recently nimefanya research ya biashara ya mchele, mahindi na mkaa. Namaanisha nimejua wapi naweza kupata bidhaa hizo kwa bei rahisi (within these 2 months June & July) na wapi soko lilipo(DSM)...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam wadau...ni nauza printer Kubwa ya mabango (Large Format) mpya kabisa na imeharibika. Imetengenezwa na Yilong Corporation.Inaprint kwenye karatasi ngumu na nyepesi na hata platics na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama wewe ni mfanyabiashara wa bar au unampango wa kufungua bar basi karibu, kuna eneo sahihi kwa ajili yako maeneo ya mwenge, Bar inahususha sehem kubwa ya counter, store kwa ajili ya vinywaji...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Solar Water Pump (SP 300) Product Description/Maelezo. SP 300 ina:- 1. Solar Panel Mbili 2. Controler moja. 3.Water Source Sensor moja na Water Storage sensor moja 4.Thread Seal tape 5 5.GI...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi Please anayejua iwapo bei za vifaa vya electronics ni nzuri mjini Doha tafadhali atujuze. Nasikia Uarabuni hivi vitu ni bei rahisi!
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Frame inapangishwa ikiwa na bidhaa nyingine kama ukizihitaji utauziwa au kutolewa Lilikuwa duka la nguo vipodozi na urembo na viatu Karibun
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iwe Apartment ya 3bedroom, seaview, Peninsula offer isizidi 300,000USD. 0689315582
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja kiko kimbiji kwa Morisi.Km 40 kutoka Kigamboni. Kiwanja kiko jirani na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni. Panafaa kujenga maduka,yadi ndogo,kufyatua na kuuza matofali,hoteli...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ASILI YETU Tunapenda kuwataalifu tunauza ndenge haina ya Bata Mzinga wakubwa miezi mitano JIKE.100,000 DUME.120,000 TUPO: Arusha kwa mawasiliyano +255 758 811 234
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza line zangu za tigopesa,mpesa na airtel zote kwa 400 tu,0654879476
0 Reactions
6 Replies
1K Views
GATEWAY DESKTOP COMPUTER INAUZWA… SPECIFICATION ZAKE v Hard Disk 1TB (GB 1000) v Ram 6 GB v Processor Core i3 v Mouse and keyboard ni wireless (bado ni mpya) v Display Inch 21 v Inasupport...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom