Noah inahitajika Arusha

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,587
12,114
Habari za jioni?

Ninahitaji kununua Noah yenye hali nzuri kwa muonekano na kiufundi pia,iwe na namba ya usajiri C au D.
Offer yangu ni 8.5-9milioni.Nipo Arusha.Itapendeza pia anayeuza aweze kuileta gari Arusha mjini,endapo yupo nje ya Arusha.

Mwenye nayo anitumie PM au atume picha zake kwenda mbuyi83@yahoo.com
 
Nicheki whatsapp hapa 0765428633 ninazo mbili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom