hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,993
- 7,148
wakuu mambo vipi? nauza simu tajwa hapo juu..... ni HTC inspire 4g ambayo iko kwenye hali mzuri sana
Naiuza kwa sababu nimepata simu nyingine
Bei yangu ni Tsh laki moja na nusu
kama unaitaji unaweza kunipm
Naiuza kwa sababu nimepata simu nyingine
Bei yangu ni Tsh laki moja na nusu
kama unaitaji unaweza kunipm