Habari wana jamvi.
Nalenga kuchimba na kujenga bwawa la kuvuna maji ya mvua shambani, sehemu ya bondeni ambapo maji ya mvua hupita, na kuyatumia kwenye kilimo cha umwagiliaji. Bwa litakuwa na upana wa mita 30, urefu mita 60 na kina cha mita 1.5. Nahitaji kujua angalau gharama ya kujenga bwawa la ukubwa huo. Asanteni