Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

MBU ni tatizo kubwa kwa afya zetu na familia zetu kwa ujumla.Tokomeza maleria kwa kutumia dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mitishamba.Dawa hii ukishaiweka kwenye umeme inatoa harufu nzuri...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Salama Wakuu, Nahitaji haraka vifuatavyo:- 1. Mota ya mashine ya kusaga Hp kati ya 30, 40 au 50 2. Mizani Digital na wa mawe ya kilo 300 3. Mashine ya kushonea maguni/viroba Vyaweza kwa...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
nauza dawa za mitishamba zilizotokana na mimea mf mlonge mkedule na mlidino...za nguvu za kiume wasiodindisha .uume legelege...wanao wahi kupiz..na za wanawake wasiozaa ..wenye maumivu chini ya...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nauza chaji ya Laptop LENOVO Thinkpad E530 Contact me 0654919121
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Heshima kwenu wakuu! Naomba kujua kama kuna mtu au kampuni inayokodisha helicopter (Chopa) Naomba kujua gharama zake na idadi ya seat. Chopa inategemewa kutumika kupita juu ya mlima...
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Kama utahitaji nicheki kwa no 0716917896 Bei ni 300k Specification zake ni GPU Engine Specs CUDA Cores 480 Graphics Clock (MHz) 732 Processor Clock (MHz) 1464 Texture Fill Rate...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Wasichana wenye umri kati ya miaka 18 - 26 wanahitajika kwa ajili ya kusambaza Air Filter za magari hapa Dar es salaam na pembezoni mwa mji. Kwa wahitaji, tupigie: 0758 301 898 Deadline: 9th...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Wasichana wenye umri kati ya miaka 18 - 26 wanahitajika kwa ajili ya kusambaza Air Filter za magari hapa Dar es salaam na pembezoni mwa mji. Kwa wahitaji, tupigie: 0758 301 898 Deadline: 9th...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
kwa mahitaji ya kupiga lipu ,kuweka tiles ,kuchimba mashimo ya choo na kuyajenga ,kupaua,kuweka gypsum bord,nk, ni muaminifu,chapakazi,na bei nafuu, napatikana 0657472666 wasap 0685047300
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini nyote vijana wenzangu na pia wakubwa shikamoni nipo na idea au mawazo ya kuanzisha kipindi cha television idea ya kipindi ninacho pamoja na muongozo mzima wa kipindi na namna ya...
1 Reactions
1 Replies
737 Views
nauza viwanja vilivyopimwa viko kigamboni mbele ya kimbiji sehemu inaitwa yaleyale puna..tunauza kwa sq meter... sqm1 ni sh 9000 tunakupatia na hati yako..viwanja viko karibu kabisa na bahari in...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Nyumba nzuri ipo Jirani na VETA ya Airport Dar es salaam,ni 1km kutoka nyerere road. Ina fence ya ukuta na fremu tatu kwa nje. Ina vyumba 3 kimoja ni master na choo cha public nafasi ya kutosha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
*BRAND NEW _HUAWEI Y6 PRO_* _FEATURES_ Display ; FULL HD 5.0" Android version; LOLLIPOP 5.1 Rom; 16GB Ram ; 2GB DDR3. Camera ; Front 5MP & REAR CAMERA 13MP WITH LED FLASH. Battery; Non Removable...
0 Reactions
3 Replies
885 Views
Room master inapangishwa kwa 130,000/ kwa mwezi pls kodi.room Kali sana IPO karibu na airtel makao makuu.room ya nje full gypsum and tiles hakuna ratiba ya kuingia wala kutoka.mtaa wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nimeamua lasmi kuwaletea dagaa kutoka kigoma na sabuni za kigoma kwa bei nafuu....... DAGAA KILO MOJA - 18000/= TSH SABUNI MCHI MMOJA- 1900/=TSH NAOMBA UNIUNGE MKONO KWA 1. MAWAZO...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zenu wadau kwa wale wote wenye mitaji hawajui namna ya kuitumia(mchanganuo wa biashara) na wale ambao wanataka kuanzisha makampuni na hawajui wanaanzishaje pia wale ambao wapo kwenye...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
pm bei ya samsung yako ambayo mbovu kwa aliye nayo ila display iwe nzimaaaaaa then tuwasiliane nitanunuaaaa
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Ninauza shamba maeneo ya horohoro, ni kolimita sita kabla hujafikana mpakani horohoro kwenda Mombasa. Shamba ni hekari 13, lina lambo kubwa la maji lenye kuweza kuhifadhi maji msimu mpaka msimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom