Ahsante kwa mrejesho mkuu, me nipo Dar, na nilipanga nipate mtu wa Dar hapa kama nitakosa itabidi nikucheki mkuu ingawa itakuwa gharama.kwangu umepata wewe uko wapi?
mm niko mbeya pumba nzur ipo kiasi chochote unacho hitaji
0753 44 55 31
Ahsante kwa mrejesho mkuu, me nipo Dar, na nilipanga nipate mtu wa Dar hapa kama nitakosa itabidi nikucheki mkuu ingawa itakuwa gharama.
Ndio mkuu kule huwa inapatikana ila me nahitaji iliyokaushwa juani kabisa, kule wengi wanazo zile fresh ambazo zimetoka kwenye mashine.Kwa Dar nenda Manzese, pale maeneo ya Darajani upande wa kishoto kama unaenda mjini, kuna viwanda vingi vinasagisha unga hayo maeneo, hivyo kunakuwaga na pumba nyingi sana