nauza huawei P8 ambayo nimetumia mwezi mmoja hivyo ni kama mpya haina scratches wala tatizo lolote ina support 4G na internal memory ni GB 16,,, bei ni shilingi 380,000 nimeshindwa kupost picha...
Nina Dc to Dc laptop power adapter ambayo inaweza kutumika kwenye umeme wa Gari au Solar(kuanzia 11v had 14v) kwa ajili ya kuchajia laptop,i naweza kutumika kwenye aina 8 tofauti za laptop...
SNL SOLAR CO. LTD tumejikita katika kuboresha mifumo ya solar kwa kutumia technologia ya kisasa.
Tunafunga SOLAR kwa mteja ambaye hana umeme wa tanesco lakini pia tunafunga BACKUP system kwa...
Iris Sat plus super slim design
49 INCHES: 4K ultra HD
Sound Bar: Dolby digital ( powerful sounds )
3 HDMI & 2 USB PORTS
Android system: Wifi/Ethernet
Tv is in excellent condition and fully...
Ni basi la abiria au kwa kubebea wanafunzi.lina hali nzuri Sana liko hapa Mwanza njoo Leo ujipatie kwa bei ya Tshs. 25 milioni Tu.
Anaehitaji tuwasiliane kwa Namba 0742159555
nataka nunua gari kwa installment pls let me know wapi inaweza kwa kuanza nitalipia 3mil but gari isizidi 6mil.
asante
nitafute in box nitakujibu asante
Je unahitaji huduma mojawapo kati ya zifuatazo katika nyumba yako?
Kufanyiwa Wiring
Michoro ya Wiring (Electrical wiring drawing).
Ukadiriaji wa gharama katika manunuzi ya vifaa vya umeme katika...
Natafuta chumba cha kupanga self mwanza maeneo ya nyegezi Au Kona ya bwiru pasiasi nyamanoro Au ilemela. nyumba yenye usalama karibu na barabara ningefurahi zaid ikiwa na uzio.
Jaman madalali...
Viwanja viwili vinauzwa kigamboni mwembe mdogo kilomita mbili kutoka dege house project.
30*30 tshs 10 milions na 30*60 kikiwa na tofali 700 kinauzwa 17 mls.
Vina documents za serikali ya mtaaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.