Partner wa kufuga nae kuku

Partner wa kufuga nae kuku

jnia

Senior Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
112
Reaction score
37
Natafuta mtu wa kuwa nae kwenye business ya kuku wa kienyeji
 
Hela ya ufungaji wa kuku haina tofauti na na hela ya madawa ya kulevya sema tu watu hawajashtukizia hii biashara! Faida yake ni kubwa sana
 
dadavua mkuu
 
Nikweli kabisa mkuu inafaida sana ukiwafuga kibiashara sio ufuge kuku kuku to utoona faida yake
 
Back
Top Bottom