Waliomaliza form six wenye principle moja waje kusoma Chuo cha Ushirika Moshi

Jmushizoo

Member
Apr 15, 2011
73
15
1. Diploma in Co-operative Management and Accounting (DCMA)
2. Diploma in Business Information and Communication Technology (DBICT)
3. Diploma in Enterprise Management (DEMA)
4. Diploma in Library and Archival Studies (DLAS) and
Diploma in Microfinance Management (DMFM)
 
Hii inawahusu wanafunzi wa Forest Hill Secondary ya pale Morogoro inayomilikiwa na Islamic Foundation kwani wanafunzi wote 33 waliomaliza kidato cha sita wana principal moja moja.
 
Hii inawahusu wanafunzi wa Forest Hill Secondary ya pale Morogoro inayomilikiwa na Islamic Foundation kwani wanafunzi wote 33 waliomaliza kidato cha sita wana principle moja moja.
Na wengine tu wenye principal moja na kuendelea ambao hawezi kujiunga na degree moja kwa moja
 
Hii inawahusu wanafunzi wa Forest Hill Secondary ya pale Morogoro inayomilikiwa na Islamic Foundation kwani wanafunzi wote 33 waliomaliza kidato cha sita wana principal moja moja.
Mkuu unapotosha, kuna watatu wa DIV 2 , wane wa Div 3 ya 13 na wawili wa DIV 3 ya 14 wenye point 4.5 & 5 . Hao wote (9) wana vigezo vya kuomba TCU. Wako pia wenye principle 2 au 3 za lakini hawafikishi point 4. Hivyo si kweli ulichoandika labda kama una issue nyingine.
 
Naongezea..... Imekuwa ya mwisho katika level ya Mkoa.
 
Ulicho ongeza ni sawa wamekuwa wa 17/17, lakini bado umedanganya kusema wote wana principal moja moja. Kwa nini ufanye hivyo?
Naongezea.... Wamejitahidi kwenye somo la kiingereza tu kwani wamekuwa wa 19 kati ya shule 20 katika level ya Mkoa.
 
1. Diploma in Co-operative Management and Accounting (DCMA)
2. Diploma in Business Information and Communication Technology (DBICT)
3. Diploma in Enterprise Management (DEMA)
4. Diploma in Library and Archival Studies (DLAS) and
Diploma in Microfinance Management (DMFM)

Wewe nadhani unawatafutia wenzako balaa,Ushirika sio chuo cha kufanya majaribio pale ni msuli kwenda mbele,kudisco pale ni sekunde yoyote ile na hiyo GPA ya 3.5 haipatikani kirahisi pale. Hao madogo nawashauri wakasome CBE au TIA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom