Kitabu kipya kinauzwa-Zijue siri zilizojificha ndani ya tendo la kujamiiana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitabu kipya kinauzwa-Zijue siri zilizojificha ndani ya tendo la kujamiiana.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Oct 26, 2012.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,036
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mahudhui yaliyomo katika kitabu hicho:
  -Mwandishi wa kitabu hiki ameelezea kwa kina siri mbalimbali zilizojificha ndani ya tendo la kujamiana.
  -Mwandishi ameelezea kwa kina namna ya kufika kileleni na kukaa kileleni kwa muda mrefu.
  -Mwandishi ameelezea kwa kina madhara yatokanayo na kukandamiza au kutofanya kabisa ngono
  -Mwandishi ameelezea kwa kina uhusiano uliopo kati ya dini na tendo la kujamiana.
  -Mwandishi ameelezea kwa kina nguvu iliyopo ndani ya kujamiiana inavyoweza kubadirishwa na kuwa upendo
  -Mwandishi ameelezea kwa kina namna jinsi tendo la kujamiana linavyoweza kuunganishwa na tahajudi(meditation) na hivyo kuleta raha ya kiwango cha juu kabisa.
  -Mwandishi anaelezea kwa kina jinsi ambavyo tendo la kujaamiana linavyoweza kutumika kuimarisha ndoa au mahusiano
  -Mwandishi anaelezea kwa kina jinsi maisha yalivyobadirika baada ya kusoma kitabu hiki kwa kuyatenda yale yaliyoelezwa katika hiki kitabu.
  -Pia amejibu kwa kina maswali maswali mbalimbali ambayo huwa yanulizwa mara kwa mara kuhusiana na tendo la kujamiaana.
  -Mwandishi wa kitabu hiki anakuomba ununue kitabu hiki kwani kitakusaidia kwa kiwango kikubwa sana kutatua matatizo yako mbalimbali ya maisha na kimahusiano, hutahitaji tena kwenda kutafuta ushauri kwa mtu yeyote
  KITABU HIKI KINAPATIKANA KWA WALE WANAOHITAJI WAFIKE ICS DISPENSARY TABATA KIMANGA ( KWA DEWJI) AU WAPIGE SIMU:0713250701
   

  Attached Files:

 2. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
 3. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Sasa si useme bei mkuu? Kwani unauza meno ya tembo hadi iwe siri?
   
 4. ymollel

  ymollel JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2016
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 2,217
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 180
  sawa
   
Loading...