Maombi yatumwe wapi sasa? Mbona mnaandika vitu nusunusuAnahitajika kijana mwenye ujuzi wa kutunza bustani na mazingira yanayozunguka nyumba; kwa kifupi awe na basic education - kusoma na kuandika.
Eneo la kazi litakuwa Mikocheni, Dar es Salaam.
Tuma ombi lako haraka!