Nyumba na shule zinauzwa/kupangishwa

Nyumba na shule zinauzwa/kupangishwa

dalaliwangu

Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
36
Reaction score
1
ENGLISH MEDIUM SCHOOL FOR SALE,

HOTEL FOR SALE-Mbeya city

HOUSE FOR SALE UZUNGUNI/UHINDINI

FULL FURNISHED HOUSE FOR RENT- UZUNGUNI,UHINDIN


INDUSTRIAL PLOT FOR SALE 8000Sqms-IYUNGA

OFFICE FOR RENT, UHINDINI.


ROOMS FOR RENT-UZUNGUNI



PLS. CALL:0754060350
 
Ndio maana kuna namba ya simu, kama hujaelewa ungepiga, na si kukurupuka tu, sio kila ukionacho lazima uchallenge,sometimes pita kimya kimya. Na kama unaona si tangazo ungetoa lako ili niige!!! Cheers.

Bange hizo
 
ENGLISH MEDIUM SCHOOL FOR SALE,

HOTEL FOR SALE-Mbeya city

HOUSE FOR SALE UZUNGUNI/UHINDINI

FULL FURNISHED HOUSE FOR RENT- UZUNGUNI,UHINDIN


INDUSTRIAL PLOT FOR SALE 8000Sqms-IYUNGA

OFFICE FOR RENT, UHINDINI.


ROOMS FOR RENT-UZUNGUNI



PLS. CALL:0754060350
Ofisi uhindini sehem gani mkuu? Na ina ukubwa gani?
 
Hugo bado kuja na tangazo;
Soko kuu Mwanjelwa for sale.
Msikiti wa Ijumaa for rent
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mbavu zangu
 
kubali challenge mkuu, unspokosea ni bora ukae kimya au ujirekebishe, unapowaprovoke watu hata wateja wataogopa kufanya biashara na wewe.
Huwezi sema umekosea, wakati masahihisho hutoi au mfano. sometimes muwe mnapita kimya kimya!!!
 
Ofisi uhindini sehem gani mkuu? Na ina ukubwa gani?
Zipo maeneo ya uhindini moja ipo jirani na kituo cha mafuta cha manji ni chumba kikubwa, kinafaa kwa matumizi ya ofisi au duka. Pia nyingine ipo jirani na DTB bank, uhindini. endapo utapenda kujua zaidi pls. call me 0754060350, karibu
 
una ofisi wewe??? ahaha!!!!
mi nachana anga ninyi kukalia ujinga. yenu majungu mimi kazi tu. tapeli anakuwa na blogspot?? ahaha!!!! unapiga ngoma sherehe haikuhusu. kisa? We unayo!!! Toa tangazo lako ili niige. Mnakurupuka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kisaaaa??????????????????????????????
 
Back
Top Bottom