Bei za uchimbaji kisima

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
152
Hizi ndio bei za uchimbaji kisima kutoka Tawa Water Proffesional

1: Shillingi elfu sitini kwa mita (60000 tsh) moja...hapo tunakuwekea bomba (pvc) pamoja na pampu. Hiyo bei ni kwa maeneo yasiyokuwa na miamba migumu.

2: shillingi laki na ishirini kwa mita moja (120000 tsh)...hapo tunakuwekea bomba (pvc) pamoja na pampu. Hiyo bei ni kwa maeno yote yenye miamba migumu.

3: Shillingi laki moja kwa mita moja... (100000 tsh)... Hiyo ni bei kwa maeneo yaliyopo mikoani na ambayo hayana miamba migumu. Hapo tunakuwekea bomba pamoja na pampu.

4: shillingi laki moja na ishirini kwa mita moja (120000 tsh)... Hiyo bei ni kwa maeneo ya mikoani pia ambayo yana miamba migumu na hapo tunakuwekea bomba pamoja na pampu

5: shillingi elfu arobaini (40000 tsh) kwa mita moja...kwa bei hiyo tunakuchimbia tu shimo la kisima ila vitu vingine vyoote muhimu kama bomba,pampu pamoja na vitu vingine utagharamikia wewe mwenyewe. Bei hiyo ni kwa wateja waliopo Dar es salaam.

6: shillingi elfu themanini (80000 tsh) kwa mita moja...hii bei ni kwa wateja waliopo mikoani nje ya Dar es salaam na kwa bei hiyo tutakuchimbia tu na vitu vingine muhimu utanunua mteja mwenyewe.

7: bei ya Utafiti wa maji ( ground water survey ) bei ya ground water survey ni shillingi 350000 laki tatu na nusu na unapigiwa Ves 2 na hii bei ni kwa wateja waliopo Dar es salaam na bei za wateja waliopo mikoani bei zinatofautiana kuanzia shillingi Laki tano ( 500000 tsh)

Karibuni saana tufanye kazi pamoja...Gharama si chochote ila ubora ndio kila kitu karibuni saana.

Mawasiliano 0655541948/0628080096
 
Nipo Dodoma aisee....nahitaji sana kisima cha maji!!!ila swali langu je mita moja yatosha kupata maji
 
Dar mita ngapi maji yapatikana na siku ngapi naanza pata maji?
 
Ninahitaji bei gani kwa kazi yote hadi kupata maji kwa dar?
 
Kwa Dar maeneo yana tofautiana ila kwa mfano kwa maeneo ya kinondoni...maji yapo mita 40 na gharama ya kuchimba mita moja ni shillingi 60000 gharama ya kuchimba mita 40 pamoja na kuweka pampu na pvc ni shillingi 2400000...Karibu tukuhudumie mkuu
 
Bunju bei gani...jamaa yangu ananisumbua sana jirani na efatha ministry.
 
Hizi ndio bei za uchimbaji kisima kutoka Tawa Water Proffesional

1: Shillingi elfu sitini kwa mita (60000 tsh) moja...hapo tunakuwekea bomba (pvc) pamoja na pampu. Hiyo bei ni kwa maeneo yasiyokuwa na miamba migumu.

2: shillingi laki na ishirini kwa mita moja (120000 tsh)...hapo tunakuwekea bomba (pvc) pamoja na pampu. Hiyo bei ni kwa maeno yote yenye miamba migumu.

3: Shillingi laki moja kwa mita moja... (100000 tsh)... Hiyo ni bei kwa maeneo yaliyopo mikoani na ambayo hayana miamba migumu. Hapo tunakuwekea bomba pamoja na pampu.

4: shillingi laki moja na ishirini kwa mita moja (120000 tsh)... Hiyo bei ni kwa maeneo ya mikoani pia ambayo yana miamba migumu na hapo tunakuwekea bomba pamoja na pampu

5: shillingi elfu arobaini (40000 tsh) kwa mita moja...kwa bei hiyo tunakuchimbia tu shimo la kisima ila vitu vingine vyoote muhimu kama bomba,pampu pamoja na vitu vingine utagharamikia wewe mwenyewe. Bei hiyo ni kwa wateja waliopo Dar es salaam.

6: shillingi elfu themanini (80000 tsh) kwa mita moja...hii bei ni kwa wateja waliopo mikoani nje ya Dar es salaam na kwa bei hiyo tutakuchimbia tu na vitu vingine muhimu utanunua mteja mwenyewe.

7: bei ya Utafiti wa maji ( ground water survey ) bei ya ground water survey ni shillingi 350000 laki tatu na nusu na unapigiwa Ves 2 na hii bei ni kwa wateja waliopo Dar es salaam na bei za wateja waliopo mikoani bei zinatofautiana kuanzia shillingi Laki tano ( 500000 tsh)

Karibuni saana tufanye kazi pamoja...Gharama si chochote ila ubora ndio kila kitu karibuni saana.

Mawasiliano 0655541948/0628080096
Mimi nahitajika kisima maeneo ya Tegeta A Goba. Ebu niambie wastani wa kina kuweza kupata maji salama. Nahitaji sana huduma hii. Uwe serious tufanye biashara wiki hii.

Kama ni makanjanja business usiingie anga zangu utapotea. Nakutahadharisha tu.

Asante
 
Karibu huku kwetu tuna technologia za kisasa tunachimba mita moja tu na unapata maji mengi na yakutosha
 
Mimi nahitajika kisima maeneo ya Tegeta A Goba. Ebu niambie wastani wa kina kuweza kupata maji salama. Nahitaji sana huduma hii. Uwe serious tufanye biashara wiki hii.

Kama ni makanjanja business usiingie anga zangu utapotea. Nakutahadharisha tu.

Asante
Kwa maeneo yaTegeta maji yanaweza kupatikana kuanzia mita mia na kumi na kuendelea...ukihitaji kufanya kazi na mimi karibu ila mikwara acha mkuu
 
Asee! Inakuwaje visima vingine maji huwa ya chumvi? Ni namna ya uchimbaji au hutegemea eneo husika? Mfano mm naishi chamaz dar, naweza pata kisima maji yasiwe na chumvi. Maelezo pls.
 
Ni uchimbaji tu... Ila pia kuna baadhi ya maeneo maji ya chumvi hayaepukiki ila kikubwa inatakiwa ifanyike research hao wanao pata maji ya chumvi wamechimba mita ngapi ili wewe ukija kuchimba uchimbe tofauti kidogo na wao ili kuepukana na huo ukanda wa maji chumvi
 
Back
Top Bottom