Plot4Sale Nauza kiwanja heka 4 madale kisauke

Bwana Chiniko

Member
Jul 18, 2016
20
9
Habari za asubuhi ndugu zangu wa Jamii forums, natumaini kwa kudra za mwenyezi Mungu wote ni wazima wa afya.

Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 4 kinauzwa kipo Madale kisauke hakipo mbali na barabarani.

Inategemea utahitaji kwa heka zote au kwa moja, heka moja inaanzia Shilingi Milioni 25 mazungumzo yapo.

Kwa mawasiliano nicheki : 0676 33 61 47

Wote Mnakaribishwa
 
Hilo ni shamba sio kiwanja na bei yako imenistua sana nilitegemea utaje milion 100 maana kwa madale kwa eka huwez kupata kwa 25am.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Labda umekariri ndugu, pili huenda ukawa sio mzoefu wa maeneo yanayouzwa huku, mwisho kabisa kimfaacho mtu ni chake
 
Hilo ni shamba sio kiwanja na bei yako imenistua sana nilitegemea utaje milion 100 maana kwa madale kwa eka huwez kupata kwa 25am.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Ndugu usikariri. Zama hizi zimebadilika. Ni zama za kuishi kama mashetani kufuatia tumbutumbua na kuziba mianya ya ulaji. Bei ya muuzaji itazidi kupungua kadri siku zinavyosonga mbele. Kwa hili nampongeza JPM. Ngoja ifike M5 kwa heka.
 
Habari za asubuhi ndugu zangu wa Jamii forums, natumaini kwa kudra za mwenyezi Mungu wote ni wazima wa afya.

Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 4 kinauzwa kipo Madale kisauke hakipo mbali na barabarani.

Inategemea utahitaji kwa heka zote au kwa moja, heka moja inaanzia Shilingi Milioni 25 mazungumzo yapo.

Kwa mawasiliano nicheki : 0676 33 61 47

Wote Mnakaribishwa
Kiwanja nakihitaji,na bei ni nzuri.
Ila hilo jina, dah hapana aisee
Kisa Uke????
Utanisamehe tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom