Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

SNL SOLAR CO. LTD tumejikita katika kuboresha mifumo ya solar kwa kutumia technologia ya kisasa. Tunafunga SOLAR kwa mteja ambaye hana umeme wa tanesco lakini pia tunafunga BACKUP system kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta wanyama tajwa hapo juu tayari kwa kufugwa 0629141259
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je ungependa kujua mahali lilipo gari lako bila hata kumuuliza dereva?? Je ungependa kujua tabia/undeshaji wa dereva wako awapo barabarani?? Je ungependa kujua matumizi ya mafuta ya gari lako na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Nauza TV used aina ya homebase; Ni nchi 21 Model hb-2143us On screen timer Hyper band tuner Game $ calendar Teletex function 240 minutes sleep timer - Screenshots Contacts...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta mtu aliyeko dar mwenye mashine ya kutotolesha vifaranga ili tuelewane gharama ya kutotolesha mayai 360. AniPM ili tuongee bei
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Nauza IPhone kwa bei ndogo kabisa ya 550,000 Nicheki kwa namba angu tufanye BIASHARA 0673265113
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Shamba linauzwa liko kijiji cha Msowero wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro, linaukbwa wa ekari 47.8 limeshapimwa na linahati. kuna nyumba na barabara shamba linafaa sana kwa kilimo cha umwagiliaji...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Members nina fridge naiuza! fridge ni yangu ila nimeshaitumia. Ninaiuza kwa sababu ninauhitaji wa hela haraka zaidi japo ina tatizo kidogo Matatizo yake >inawaka ila imepata tatizo la kushindwa...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Dawa za upungufu wa nguvu za kiume..bp..tb..pumu.. Dawa za upungufu wa nguvu za kiume..bp..tb..pumu..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wana jamii forum, Ninaitwa HAASAN AKILIMALI , Ninafanya shughuli za designing na nikiwa nimejikita na utengenezaji wa vitambulisho na busnescards katika mashule na taasisi tofauti...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Zipo tani 200 za mahindi madogo ya njano ya kutengeneza bisi( pop corn) natafuta mnunuzi WA haraka. mawasiliano 0754524206
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rafiki yangu anahitaji kununua gari aina ya Toyota Prado. Ikiwa unayo iwe manufacture year isiwe zaidi ya 2005,iwe na hali nzuri na isiwe imetembea sana. Mwenye nayo anijuze ingefaa sana endapo...
1 Reactions
2 Replies
761 Views
.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari, Nauza remote controller ya DSTV model tajwa hapo juu na adapter yake. If you are interested please send me a DM.
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Nunua Compressor zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu ya Tshs.18,000,000,zipo Mwanza kwa anaehitaji tuwasiliane kwa #0742159555
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ninauza shamba maeneo ya horohoro, ni kolimita sita kabla hujafikana mpakani horohoro kwenda Mombasa. Shamba ni hekari 13, lina lambo kubwa la maji lenye kuweza kuhifadhi maji msimu mpaka msimu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
...habari wana JF mimj ni supplier wa material za ujenzi kama kokoto,mchanga na kifusi ....napatikana Mbagara-Dar es salaam naweza kukuletea popote jijini kwa bei nafuu. KWA WANAOHITAJI...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi, Ningependa kufahamu kama kuna suala la kukatwa kodi na TRA pale unapoagiza mzigo toka Ebay au Amazon, mizigo kama simu, nguo, perfumes N.K, nitashukuru sana kwa msaada wenu...
1 Reactions
0 Replies
576 Views
Habari wanaJF, karibu kwenye training course za computer zinazoanza kuanzia Jumatatu (on Monday) kama zinazoonekana kwenye picha chini. Location: Dodoma, Mitimirefu - Mailimbili
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom