Vyumba viwili self container vinapangishwa Ukonga Sabasaba

Vyumba viwili self container vinapangishwa Ukonga Sabasaba

Khakha

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
2,981
Reaction score
1,013
Sebule na chumba cha kulala chenye choo/bafu ndani yake vinapangishwa eneo tajwa hapo juu(ni Dar). Single au couples wanaoanza maisha vitawafaa sana. Maji na umeme vipo na iko ndani ya fence. Bei in Tsh 150,000 kwa mwezi. PM please.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom