House4Sale Kwa wakazi wa Mbeya, nauza nyumba yangu

Meek Mill

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
749
839
Habari.
Kichwa cha Habari chajieleza..Nina nyumba yangu maeneo ya Chuo cha Teku (Block T)Barabarani kabisa karibu na kwa Memba,sipo mkoani Mbeya kwa sasa na Naitaji kuiuza.

Nauliza kwa Sasa Hapo Mbeya Nyumba yenye vyumba vitano pamoja na sebure na Bafu ndani na Eneo la kupaki Gari njee na imezingushiwa Ukuta Thamani yake inaweza Fika kiasi Gani?
MSAADA TAFHADALI.
 
Mpaka kukamilika kwake ime cost tsh ngap mkuu ukitoa bei ya plot?
 
Ni muda Kidogo.2002 nilijenga
Approximately Kwa miaka ile 30m ilifika.

Mkuu sijui kama umenielewa nilitaka kujua nyumba za Maeneo ayo kwa sasa karibu na Hicho chuo Cha TeKu na zenye sifa hizo kwa sasa Hapo Mbeya Thamani yake ni Kiasi Gani.
 
ngoja wajuvi wa mji waje!au nakushuri tafuta namba ya dalali anayepatkana maeneo hayo ya chuo,atakuwa na majibu yote,pia ataktaftia hata mteja!kesho naenda mbeya ntakurushia namba ya dalali.
 
sijui barna!! labda useme kwamba unahitaji kuinunua hiyo nyumba sio kwamba ni yako na unauza,kwasababu hiyo nyumba lazima iko karibu na southern highlands na pia iko karibu na Teku chuo...sasa kirahisi rahisi tu eti hujui thamani ya nyumba kwa maeneo hayo na vile yalivyo potential...anyway poa watakuja wanaojua bei
 
Back
Top Bottom