Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naomba kujua bei ya bajaji mpya TVS , mwenye nayo au kama kuna agent yoyote anaye uza bajaji naomba tuwasiliane.
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Jamani eeh,mimi mjasiriamali mdogo mwanzo nilinunua line humu nimetapeliwa....anyway mimekupotezea. Sasa nimejipanga upya,nahitaji laini mbili mpya za m pesa na T.pesa ukijihisi tapeli hii thread...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Iwe ya usajili wa c au B,bajeti yangu ni milion Saba
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari... Natafuta ukumbi uliotulia na uliopo sehemu salama na inayofikika kirahisi Arusha Mjini kwa ajili ya Kuendesha seminar kwa wiki mbili. Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 30 tu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza nyumba ml 5 ni chumba na sebule mpya ipo nzuguni dodoma 0769057700
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Lg g2 D802 for sale anaehitaji tuwasiliane 0682871824
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Wanadu wa jukwaa, yeyote anayeweza kunisaidia mahala nitakapoweza kukipata kifaa hiki ndani ya TANZANIA atakuwa amenisaidia kwani nimeshatafuta sana kwenye maduka ya electronics bila mafanikio
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Fursa kwa wafugaji wa kuku wa mayai, nahitaji kununua nayai kwa bei ya jumla niko mtwara uwe tayari kunisafirishia kwa basi cost za usafiri za kwangu, serious seller PM please! NB:kwa wauzaji wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau, Natafuta mkopo nafuu wa pikipiki kwa matumizi binafsi ya hapa Dar. Mwenye taarifa zozote nitashukuru.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza nyumba ml 4.6 IPO dodoma nzuguni ni chumba na sebule 0769057700
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani hapa Dar wapi kunapatikana vyumba vya kupanga bei nafuu? Sh elfu kumi 20 au 30. Nataka nimpangishie dada yangu.
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Wasalaam nataka Gari aina ya Mazda,Nissan note,runx,au Alex kama unayo Kati ya hizo ni sms whatsapp ....Nina mil 6 0712 355025
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama mtu anajua gharama za kuchimba kisima Dar, nitashukuru.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama heading inavyoeleza , kwa mwenye Uwezo wa ku edit na kumalizia research proposal then research nzima hapo baadae aje PM faster .. ! Guidelines zote utapewa
0 Reactions
0 Replies
865 Views
habari, Rejea kichwa cha habari hapo juu... Budget kwa vits iliyosimama ni 5 mil Budget kwa swift iliyosimama ni 4.5 mil whatsapp pictures kwa 0712 507060, nipo Dar karibuni
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Iwe Namba D, kwenye kundi la ama Brevis(250), Carina(TI or SI), Rav 4, Crown, Progress, Wish, Noah(SR40) Weka taarifa zifuatazo:- Bei................., Aina ya Gari...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta mbia wa kuwekeza kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari moja mbezbeach Africana lililo umbali wa mita 300 kutoka barabara ya lami (Bagamoyo road) na lililo karibu na bahari Contact +255689315582
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Wadau, Nina tafuta watu wa ku administer questionnaire katika wilaya za Mkuranga na Bagamoyo kazi ambayo inatarajiwa kuchukua siku 5 - 7 Sifa: Ninahitaji watu ambao ni: 1.Wanafunzi wa vyuo ambao...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wadau Naomba mwenye ufahamu wa mashine ambazo hutumika ku pack vitu kwenye mifuko midogo midogo kama ile ya sabuni OMO, najua ziko machine ndogo ambazo husimamishwa wima na zina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba Dar es Salaam inauzwa kwa thamani sawa na Beverly Hills, nchini Marekani. Wapigaji, wakwepa kodi na mafisadi ndipo walipotufikisha hapa.
4 Reactions
57 Replies
12K Views
Back
Top Bottom