Habari wanajamvi,naomba msaada wa kupata mashine ya kutengenezea bisi iliyokwisha tumika (used PopCorn Mashine) kama itakuw mpya basi iwe kwa gharama nafuu,Shukrani.
Shamba lipo mikumi njia ya kwenda kilosa, Lina ukubwa wa heka 20 linapakana na mto ni sehemu nzuri kwa kilimo cha umwagiliaji,ufugaji wanyama hata kufuga samaki.
muhitaji WA kweli nitamuuzia kwa...
Husika na mada tajwa hapo juu,natafuta Gari ya mark x namba kuanzia c bajeti Yangu 12m,nakupa 9m cash unakaa na kadi mwisho wa mwezi namalizia 3m iliyobaki
Rashid Mohamed nimemaliza kozi ya famasia mwaka mmoja, natafuta MTU wa kufanya nae kazi ya kuuza DUKA LA MADAWA , bei ni maelewano, contact 0714669596, Niko temeke
Pata nguo za watoto na wadada pamoja na viatu vya watoto kwa 5000/= kila nguo na kiatu
Tazama baadhi ya picha
Tuwasiliane 0654796047
WhatsApp 0789893610
Do you want your product viewed by potentially 12,000 people everyday? Advertise with us for as as low as Tsh 800. contact us for more information. PM for information.
Viwanja vinauzwa,kimoja changu kiko vikindu 50ft kwa 100ft bei m5,na kingine cha rafiki yangu kiko vianzi 20m kwa 30m bei 4m kwa atakayehitaji 0654879476 thaman ya ardhi inapanda kila siku...
kipo Ubungo makoka maeneo yajulikanayo kwa jina la uluguruni. Ni sehemu iliyo inuka na ni eneo zuri kwa makazi. ni takribani kilomita 1.5 kutoka kwa mzee wa upako na na mita 500 kutoka shule ya...
Kwa wafanya biashara wanaotaka bidhaa ndogondogo kama powerbanks, machine ndogondogo, human hair, bags, kwa jumla. Nawasaidia kutafuta suppliers wazuri wa jumla, kununua vitu na kutuma kwa kutumia...
Jmk Royal Services
Dealer wa vifaa vya ujenzi,yakiwemo mabati,tiles,wanakuletea
Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)
Mabati ya mikunjo(Versatile)
Mabati migongo modogo(corrugated) ya rangi na...
Kutana na fundi rangi Asie na longolongo; kuanzia skiming, drewa, wallpaper, prestige na nadizain rangi za kupendezesha nyumba yako. Contact-0656-535646 na 0656-621103
Shamba la ekari 10 lenye minazi, miembe na michungwa maeneo ya pwani barabara ya kibada kigamboni - Mwasonga, ni Tshs 50mil.... Lina rutuba. Kwa maelezo zaidi piga 0622000277 au 0683000177. Karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.