Mwenye kufahamu packing machine

Mwenye kufahamu packing machine

Nkobe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
2,230
Reaction score
3,333
Habari zenu wadau

Naomba mwenye ufahamu wa mashine ambazo hutumika ku pack vitu kwenye mifuko midogo midogo kama ile ya sabuni OMO, najua ziko machine ndogo ambazo husimamishwa wima na zina matairi. Mwenye kujua wapi zinapatikana naomba anijulishe hapa.
 
Back
Top Bottom