Naomba kujua bei ya bajaji mpya TVS , mwenye nayo au kama kuna agent yoyote anaye uza bajaji naomba tuwasiliane.
Ukilipa nusu unaondoka na bajaji, au unalipa nusu unaenda kutafuta nyingine?Kama sikosei jamaa wanouza bajaji mpya wapo tandika dar es salaam, bahati mbaya sikumbuki ni mtaa gani. Unalipa nusu baada ya wiki unakamata kitu kipya.
Kuna wakati Ilikuwa 6.9Mil kabla sijaenda JubaUkilipa nusu unaondoka na bajaji, au unalipa nusu unaenda kutafuta nyingine?
Naomba kama unajua bei ya bajaji TVS mpya nisaidie?
Ukienda pale pugu kuna agent mkubwa sana. Bei ziko hivi ukiagiza kwao ambavyo itakulazimu kusubiria kipindicha mwezi mmoja utalipa tsh million 6 na laki9. Ukienda pale mikocheni wanazo dukani watakuuzia million 7 mpaka 7 na laki mbili inategemea mazungumzo yenu ambayo utaipata ndani ya week moja with full registration. Hizi ni TVS. Hizo nyingíne unanunua kama unavyo nunua cm kariakooo hazina diri ila TVS ndio the best bajaji ziko poa sanaNaomba kujua bei ya bajaji mpya TVS , mwenye nayo au kama kuna agent yoyote anaye uza bajaji naomba tuwasiliane.
Huo mwezi mmoja kwani unaagiza kama gari?Ukienda pale pugu kuna agent mkubwa sana. Bei ziko hivi ukiagiza kwao ambavyo itakulazimu kusubiria kipindicha mwezi mmoja utalipa tsh million 6 na laki9. Ukienda pale mikocheni wanazo dukani watakuuzia million 7 mpaka 7 na laki mbili inategemea mazungumzo yenu ambayo utaipata ndani ya week moja with full registration. Hizi ni TVS. Hizo nyingíne unanunua kama unavyo nunua cm kariakooo hazina diri ila TVS ndio the best bajaji ziko poa sanaView attachment 361116
nakusii ukishaipata unitafute niwe dereva wako pleaseKama sikosei jamaa wanouza bajaji mpya wapo tandika dar es salaam, bahati mbaya sikumbuki ni mtaa gani. Unalipa nusu baada ya wiki unakamata kitu kipya.
Milioni tisa unusu tu, sina bei kabisa Mkuu, naihitaji hio pesa hata sasa hivi,Sh ngapi carina mkuu
tutayadiscus hayo bossUna ubavu wa kuniletea 35000 kwa siku?
Nimeisajili juzi tu ni namba mpya kabisa DGHGari yako ina namba D au C
Tvs ukiagiza kwa hawa jamaa wa pugu unapata punguzo la bei. Ila ukienda kuifuata dukani inakuwa na bei kubwa sana hata hivyo ni maduka machache sana wanaziuza na hata ukinunua siku hiyo hiyo hauwezi kupewa lazima usubiri week moja ndio wanakupa coz huwa zina kuwa mpya kwenye masanduku yake so kuifunga mpaka ikamilike na wakufanyie usajiri inachukua wiki mojaHuo mwezi mmoja kwani unaagiza kama gari?
Asante mkuu, pugu eneo gani?Tvs ukiagiza kwa hawa jamaa wa pugu unapata punguzo la bei. Ila ukienda kuifuata dukani inakuwa na bei kubwa sana hata hivyo ni maduka machache sana wanaziuza na hata ukinunua siku hiyo hiyo hauwezi kupewa lazima usubiri week moja ndio wanakupa coz huwa zina kuwa mpya kwenye masanduku yake so kuifunga mpaka ikamilike na wakufanyie usajiri inachukua wiki moja
Ukienda pale pugu kuna agent mkubwa sana. Bei ziko hivi ukiagiza kwao ambavyo itakulazimu kusubiria kipindicha mwezi mmoja utalipa tsh million 6 na laki9. Ukienda pale mikocheni wanazo dukani watakuuzia million 7 mpaka 7 na laki mbili inategemea mazungumzo yenu ambayo utaipata ndani ya week moja with full registration. Hizi ni TVS. Hizo nyingíne unanunua kama unavyo nunua cm kariakooo hazina diri ila TVS ndio the best bajaji ziko poa sanaView attachment 361116
Ni kwa Wiki Tsh 120,000Wakuu naomba kwa anaye jua hesabu ya suzuki carry kwa siku tajiri anapewa ngapi?