Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

4WHL IWE VIZURI HAIJATUMIKA SANA
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Je unahitaji mabox ya kufungashia cake? Tuna mabox yenye ukubwa mbalimbali kwa ajili ya kuhifadhia keki. Popote ulipo Tanzania tutakufikishia mzigo. 0754810853 na 0755092734
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za leo wakuu....nauza pumba ya mahindi ipo kibaigwa dodoma....jumla ipo gunia 300 za kilo 70 kila moja. Punba nauza kilo tsh 200 na tshs 14000 kwa gunia. Usafiri ntamuorganizia. Karibuni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Naombeni mwenye kujua bei ya mashine ya max malipo anisaidie niijue, lakini pia nahitaji kujua Kama nikiinunua hiyo mashine itakuwa imeshaunganishwa na huduma mbalimbali Kama tigo pesa, Airtel...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wana JF? Nipo Halmashauri ya Chalinze idara ya Elimu Sekondari natafuta Mwl wakubadilishana naye wa Temeke, Kigamboni au Mkuranga. Anitafute kwa 0786864257
0 Reactions
0 Replies
903 Views
nyumba inauzwa ipo Mwanza Ilemela Kiseke ppf Ina vyumba vitatu 3 Kiwanja kimepimwa Ukubwa wa kiwanja ni Square metre 960 Ml70 Tsh
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwenye kuijua anisaidiee plz
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HABARI, KUNA MDAU ANAUZA GARI YAKE KAITUMIA CHINI YA MWAKA MMOJA. MAELEZO YA GARI NI HAYA; "2003 IST Low mileage (65,300 KM) Comprehensive Insurance paid Good condition (1.3l engine) Price...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Chumba kinapangishwa kinondoni mkwajuni,umbali mfupi kutoka barabarani 0719538995
0 Reactions
0 Replies
935 Views
ukiwa na internent yenye speed nzuri! tunaweza kufanya yafuatayo kwa gharama nafuu! installation za printer na vitu vingine naweza kuinstall program ambayo utaitaji hata kama utaitaji account...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi, wakuu Nyumba Inauzwa ipo ukonga mombasa, bei sh mill 20, mazungumzo yapo. Inavyumba vitatu vya Kulala, kimoja master, jiko na sebule.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kiwanja cha 50X25 kilichopo maeneo ya Burega kinauzwa. Kinapakana na ufukwe wa Lake Tanganyika. Kuna Servants Quarter yenye vyumba viwili na varanda. Kina hati. Bei TZS 15 M. Mawasiliano 0772977330
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari,nahitaji kiwanja kigoma mjini mwenye nacho tuwasiliane humu,asanteni!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nissan caravan inauzwa bei 4ml kwa mawasiliano 0716 757535
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tunapenda kukujulisha kuwa Muhula wa Masomo (NTA level 4) kwa kozi ya Medical Lab unafunguliwa mwezi Septemba 2016. Wahi nafasi ni chache!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nahitaji reagents na Instruments kwa ajili ya maabara, naamini wapo wauzaji / wasambazaji humu. Tafadhali tuwasiliane kwa e-mail jnb14enterprises@gmail.com Physical Addredd - niko Mwanza city.
0 Reactions
5 Replies
824 Views
Kwa anayeitaja nyamA ya nguruwe tuwasiliane namba 0754431045 kg i tsh 6500 waweza kupata ata kg 300 nawasilisha
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Kitanda, TV lg 21inch, radio na kimeza cha mbao ni pm kwa maelezo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari. naitaji msichana wa kusaidia kazi za nyumbani, kwa aliye tayali naomba ani PM mimi ninaishi DAR ES SALAAM.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom