Tanganyika50
Member
- Dec 8, 2011
- 97
- 19
Wadau,
Nina tafuta watu wa ku administer questionnaire katika wilaya za Mkuranga na Bagamoyo kazi ambayo inatarajiwa kuchukua siku 5 - 7
Sifa:
Ninahitaji watu ambao ni:
1.Wanafunzi wa vyuo ambao wako likizo
2.Wahitimu wa vyuo vya elimu ya juu (Shahada/Diploma) ambao hawana ajira kwa sasa
Questionnaire iko katika lugha ya kiingereza na enumerator atahitajika kutafsiri na kuuliza maswali kwa Kiswahili.Ni kazi inayohitaji umakini na ufasaha.
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na namba ifuatayo:
0677 017418
Ulizia facilitator.