Bei za viwanja na nyumba Dar ni kichaa

edu88

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
692
516
Nyumba Dar es Salaam inauzwa kwa thamani sawa na Beverly Hills, nchini Marekani. Wapigaji, wakwepa kodi na mafisadi ndipo walipotufikisha hapa.
156b8547270c14d0d38e06430256e372.jpg
 
Fafanua manake mie najua vitu vinapanda bei au kushuka kulingana principal mbili tu..supply and demand! Watu kuwa na hela nyingi inawezekana wameinvest sana,au wanafanya money laundering au ni udhaifu wa Serikali kusimamia vizuri monetary na fiscal policy
 
Wahi Dodoma mkuu soon nako patakuwa mji mkubwa,sio lazima wote tumiliki nyumba Dar kwanza joto na magonjwa hatarishi yamezidi.
 
Back
Top Bottom