Ncheki 0654 879476 nkupe zote kwa 280
Dozi haijamkoleayaan umetapeliwa humu bado unarudi tena??
kwa nini usiende zinapouzwa?
m pesa ipo laki moja tuJamani eeh,mimi mjasiriamali mdogo mwanzo nilinunua line humu nimetapeliwa....anyway mimekupotezea. Sasa nimejipanga upya,nahitaji laini mbili mpya za m pesa na T.pesa ukijihisi tapeli hii thread ipite tu. Nahitaji mapema yaani hapa np full.....
Ahsante mkuu,humu siamini hata kidogo! Kuna mtu kaandika bei humu...nimempigia kapandisha bei!Ukishakua na lesen.na tin namba nenda ofisi zao ingawa kuzipata hizo line itakuchukua either muda mrefu sana or usipate kabisa,na si ajabu document zako zikatumika kutengezea line ambazo zitakua sokoni kwa jina lako pasipo kujua,kama uhtaj.si wa haraka peleka document ofis husika