Vyumba vya kupanga bei nafuu

Vyumba vya kupanga bei nafuu

Nsimbi

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
1,091
Reaction score
1,208
Jamani hapa Dar wapi kunapatikana vyumba vya kupanga bei nafuu? Sh elfu kumi 20 au 30. Nataka nimpangishie dada yangu.
 
pemba mnazi mbele ya buyuni kigamboni km 70 toka feri nauli 3000 toka feri
 
Back
Top Bottom