Natafuta digital multmeter aina ya FLUKE 117

Natafuta digital multmeter aina ya FLUKE 117

jacspyro

Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
90
Reaction score
81
Wanadu wa jukwaa, yeyote anayeweza kunisaidia mahala nitakapoweza kukipata kifaa hiki ndani ya TANZANIA atakuwa amenisaidia kwani nimeshatafuta sana kwenye maduka ya electronics bila mafanikio

1470219665762.jpg
 
Ipo, ninayo nitafute 0655308308 au 0767102102.
 
Back
Top Bottom