Natafuta gari iwe toyota verossa au Mark 2 grande

Rafki yangu anayo 1 kashindwa kutoa port ya 2004 ina wiki 2 pale anataka mil 4.5 mtu aitoe mwenyewe
 
Ninayo namba C nimelipia vibali juzi, mwisho ila panda kidogo 8.5 ipo vizuri sana!
 
Kama kweli unayo weka picha. Ikitupendeza tuje kukagua.
Story pekee haziuzi gari
 
Back
Top Bottom