DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Kama mtu anajua gharama za kuchimba kisima Dar, nitashukuru.
Kama mtu anajua gharama za kuchimba kisima Dar, nitashukuru.
ungefafanua ni maeneo gani mkuu ili kama ulipo mtu alichimbiwa maeneo hayo akushtue! gharama za kuchimba zinatofautiana sehemu na sehemu na pia kwa wataalamu wa kuchimba ukitaja ni maeneo gani unaweza kupata makadirio mpaka vipimo nya mita ngapi kwenda chini maeneo hayo! mimi nipo na mtu wangu ukitaka we lete details za maeneo ni ili nikuunge nae. sasa ulivyouliza hapo juu inakuwa tabu kidogo kumpa mtu details akiniuliza wapi nimekwama