Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji mwanadada mtu mzima, anayejielewa na si msichana,wa kufanya usafi nyumbani, mara mbili kwa juma, kufua, kupiga pasi, kufanya usafi wa jumla wa nyumba, haswa ndani na kuosha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana bodi Nahitaji mtu wa uhakika ambaye atakuwa ananiletea kuku wa kienyeji kutoka Singida. Awe na uwezo wa kuleta kuku wa kienyeji 80 - 100 kwa wiki. Mtu ambaye yupo Singida na anaweza...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mm nafanyabiashara ya gas napata faida kati ya laki tano mpaka milion kwa siku ila madeni yamenizidi kama kuna mtu anataka kujua zaidi na anapesa anitafute aje tujadiliane tupige kazi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je wewe ubasumbuliwa na moja ya haya yafuatayo;- # Kisukari. # Shinikizo la damu. # Maumivu ya viongo. # Upungufu wa kinga mwilini,vidonda vya tumbo # Mtoto anasumbua Kula, anakua kwa kusua sua...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
Habari zenu,naombeni mnijulishe bei ya vifaranga vya kuku wa kizungu ni sh ngapi na wanapatinaka maeneo gani Mimi naishi mbagala?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Anaejua bei ya dagaa Dar anijuze. Pia naitaji kujua debe moja ya dagaa ina kilo gap? Coz Mwanza wanauza kwa debe Dar kwa kilo.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
123
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shamba zuri linauzwa Kibamba (linatumika kwa sasa kulima mboga, limepakana na mto Kibwegere), Ni eneo ambalo linaweza kutumika kwa Makazi au kulima mboga mboga au kwa ufugaji. Lina Hati ya Kijiji...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Je wewe ubasumbuliwa na moja ya haya yafuatayo;- # Kisukari. # Shinikizo la damu. # Maumivu ya viongo. # Upungufu wa kinga mwilini,vidonda vya tumbo # Mtoto anasumbua Kula, anakua kwa kusua sua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HABARI ZENU NDUGU ZANGU NAOMBA MNISAIDIE KITU KIMOJA NAJITAJI KUNUNUA KUKU WA KIENYEJI ORIGINAL ALIKUANAO AU ANAJUA WAPI NAWEZA KUWAPATA BASI ANISAIDIE KUWAPATA. SIFA ZA KUKU HAO: a) wawe wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
M Mashine na camera vinauzwa Nilinunua kwa ajili ya matumiz binafsi na nishamalizia kazi, Laki 3,nipo gongolamboto 0713715772
0 Reactions
14 Replies
3K Views
1 Reactions
4 Replies
870 Views
Nauza nokia lumia 525 ina internal memory gb 8 na extenal memory gb 2. Ina window 8.1 bei ni sh 150000 kwa. Mawasiliano njoo inbox 0659865639
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau, naomba kujuzwa kama hapa dar kuna kampuni yoyote inayotambulika na kuuza vifaranga vya kuku wa mayai, hasa wale wekundu, kuna mtu nilisikia alisema kuna hawa jamaa amadori but sina contact...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
hii ni ya kweli kwa wale wanaohitaji pesa kupitia mtandao(networking) no more drama in this, just open the link below and see by yourself VisitEarnings.com - Earn from Your Home & Office...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Pata pesa mtandaoni nirahisi kujiunga nanibure tembelea hapa VisitEarnings.com - Earn from Your Home & Office, Earning website for Students, Job-less people Kadri watu utakao invite ndipo pesa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwenye Vitz RS nzuri available for sale tafadhali PM Manual preffered,lakini hata auto sio mbaya. Please include your whatsapp # ili niweze kupata picha. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
827 Views
Sehemu:Tabata kimanga. Hali ya Nyumba: ya kisasa, parking kubwa, full ukuta, Maji, umeme kila kitu swafi yaani. Nyumba iko pouwa wote wanaokaa wajanja...wazee hawatakiwi na waswahili hawatakiwi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau, Mwenye kioo pamoja na touch yake Samsung Galaxy grand 2 .model G7102 ani PM tufanye biashara,ofa tsh 40,000/=
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza haijatumika bongo,bei 1,500,000
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Back
Top Bottom