Shamba zuri linauzwa Kibamba (linatumika kwa sasa kulima mboga, limepakana na mto Kibwegere), Ni eneo ambalo linaweza kutumika kwa Makazi au kulima mboga mboga au kwa ufugaji. Lina Hati ya Kijiji, na muhtasari wa kijiji ulitolewa na Halmshauri ya Kibaha imeshatoa idhini ya kuanza kulipima. Kwa hiyo kwa atakae nunua, anaweza akaendelea moja kwa moja na upimaji na akapata hati kwa jina lake. Ukubwa heka moja (1), kutoka pale Kibamba mwisho ni kilomita 6 barabara ni moja kwa moja hadi shambani. Bei yake ni Milioni Kumi (10,000,000). Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa namba 0715441492