Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta fundi wa ujenzi mwenye uwezo wa kusoma ramani na kujenga. Ikiwezekana awe amesomea civil hata level ya veta grade one. Mawasiliano 0714374155 au 0753199179. Site ipo Dar viwege majohe.
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Wakuu naomba kama kuna yeyote anayeweza kunielekeza jinsi ya kupata mashine nzuri ya kukoboa mpunga ikiwa ni pamoja na bei yake.
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Injini 3s.imelipiwa insurance na motor vehicle hadi 2017. Gari imrkamilika vitu vyote.Simu 0783085858.0769881984.0715075858
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa muone kwa matatizo mbalimbali sasa yuko nchini TANZANIA baada ya kutoka nchini NIGERIA,Tunatibu yafuatayo:-KISUKARI,KANSA,WANAUME KUWAHI KUFIKA ,WANAWAKE KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nimeshafika tayari hapa furahisha na watu ni wengi Toka juzi nilirudi home mwanza kutokea mkoani jirani.sasa leo nimeenda kwenye mkutano wa frank (SHILO) kwa ajiri ya kumsikiliza, ila kuna kitu...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Inaingiabline ya simu?memory card unauwezo wa kupiga kupokea simu n.k
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Anayejua maduka ya vifaa vya mazoezi vya bei poa haswa benchi na vyuma vya mazoezi vya kisasa Dar es Salaam tafadhali nifahamishe. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunakufunguia SOLAR, BACKUP ZA UMEME iwe Nyumbani au Ofisini hata kwenye shughuli za Kiuchumi kwa GHARAMA NAFUU ZAIDI na Warranty ya maandishi. Pia TUNATATUA TATIZO LOLOTE LA KIUFUNDI kwa mtu...
1 Reactions
0 Replies
732 Views
Tunakufunguia SOLAR, BACKUP ZA UMEME iwe Nyumbani au Ofisini hata kwenye shughuli za Kiuchumi kwa GHARAMA NAFUU ZAIDI na Warranty ya maandishi. Pia TUNATATUA TATIZO LOLOTE LA KIUFUNDI kwa mtu...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Gari ipo vizuri na vibari vyote njoo ukague gari ulipie Check me 0765428633 WhatsApp
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Bado ina hali nzuri kabisaa.bei 170k simu 0659626782
0 Reactions
9 Replies
878 Views
Habari wadau Nahitaji water pump machine aina ya Honda yenye: Capacity to pump water per minutes Horse power : Pump Inc size: Engine type: na bei gani na je naweza kupata wapi wanakouza au...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi all, Bado tuna nafasi za kutosha kwenye bus letu kwa safari ya kuelekea hifadhi ya Taifa ya Udzungwa, Safari ni ya kuondoka Jumamosi na kurudi Jumapili, safari itaanzia Ubungo Mataa. gharama...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari za leo, naomba ushauri wenu kunijulisha maduka mazuri ya tiles yanayopatikana Dar es Salaam. Nahitaji medium and high quality tiles na sio Chinese tiles. Nakama kuna mtu anamjua fundi...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari. Natafuta printer ya epson l800 mpya. Pesa ipo cash muda wowote. Thanks.
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Kama ulikua unatafuta au unahitaji kiwanja Dodoma mjini Usipitwe na hiii Bei yake nafuu haijawahi kutokea Sehem :Makuru karibu na Barabara Bei:Maelewano lakini n nafuu Sana Ukubwa:Kinaukubwa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari watanzania wenzangu nauza cm jamii ya window phone yaani NOKIA LUMIA 525 kwa sh 180000 cm haina tatizo lolote ina gb 8.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta mashine ndogo ya kusagia muhogo kuwa unga isizidi laki 4.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom