Nicolas J Clinton Gabone JF-Expert Member Joined Mar 13, 2014 Posts 896 Reaction score 554 Aug 19, 2016 #2 Ni kinyume na sheria kabisa tena kosa la jinai hiyo kazi yako. Kwa wewe na mwenye simu wote mnafanya makosa kisheria.
Ni kinyume na sheria kabisa tena kosa la jinai hiyo kazi yako. Kwa wewe na mwenye simu wote mnafanya makosa kisheria.
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,940 Reaction score 5,752 Aug 19, 2016 #3 Adhabu kali itatolewa juu yako tushachukua namba zako tutakutafuta
Lyamber JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 11,737 Reaction score 18,927 Aug 19, 2016 #4 Nicholas J Clinton said: Ni kinyume na sheria kabisa tena kosa la jinai hiyo kazi yako. Kwa wewe na mwenye simu wote mnafanya makosa kisheria. Click to expand... Makosa chini ya sheria ipi na chini ya kifungu kipi?
Nicholas J Clinton said: Ni kinyume na sheria kabisa tena kosa la jinai hiyo kazi yako. Kwa wewe na mwenye simu wote mnafanya makosa kisheria. Click to expand... Makosa chini ya sheria ipi na chini ya kifungu kipi?