Nahitaji Supplier wa kuku wa kienyeji kutoka Singida

Nkuba25

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,344
13,034
Habari wana bodi

Nahitaji mtu wa uhakika ambaye atakuwa ananiletea kuku wa kienyeji kutoka Singida.

Awe na uwezo wa kuleta kuku wa kienyeji 80 - 100 kwa wiki.

Mtu ambaye yupo Singida na anaweza kufanya hiyo biashara naomba ani PM ili tuweze kufanya majadiliano ya biashara.

Mimi nipo Dar.

Asante.
 
mkuu hujasema upo mkoa gani,unapatkana vipi na bei pia hujataja kua unanunua kwa mmoja kuasi gani.na unajua fika jogoo na tetea bei ni tofauti
 
shida yako ni kuku wa kienyeji au ni lazima hao kuku watoke Singida? na wewe uko wapi?
 
Wakuu

Mimi nipo Dar.

Pia, kama wewe unaweza ku supply hao kuku wa kienyeji, naomba uni PM ili tuweze ku discuss.
 
Habari wana bodi

Nahitaji mtu wa uhakika ambaye atakuwa ananiletea kuku wa kienyeji kutoka Singida.

Awe na uwezo wa kuleta kuku wa kienyeji 80 - 100 kwa wiki.

Mtu ambaye yupo Singida na anaweza kufanya hiyo biashara naomba ani PM ili tuweze kufanya majadiliano ya biashara.

Mimi nipo Dar.

Asante.

Mimi nipo Tanga, maeneo ya horohoro, Nina kuku wa nyama chotara na bei yake 20,000@. Kuku hawa wana umri chini ya mwaka na nusu. Wengi wana uzito usiopungua kilo 2.5
 
Habari wana bodi

Nahitaji mtu wa uhakika ambaye atakuwa ananiletea kuku wa kienyeji kutoka Singida.

Awe na uwezo wa kuleta kuku wa kienyeji 80 - 100 kwa wiki.

Mtu ambaye yupo Singida na anaweza kufanya hiyo biashara naomba ani PM ili tuweze kufanya majadiliano ya biashara.

Mimi nipo Dar.

Asante.
kuku Singida wengi ila shida usafiri tu, niliifanya hii biashara ila usafiri ndiyo tabu.
 
Habari wana bodi

Nahitaji mtu wa uhakika ambaye atakuwa ananiletea kuku wa kienyeji kutoka Singida.

Awe na uwezo wa kuleta kuku wa kienyeji 80 - 100 kwa wiki.

Mtu ambaye yupo Singida na anaweza kufanya hiyo biashara naomba ani PM ili tuweze kufanya majadiliano ya biashara.

Mimi nipo Dar.

Asante.
aisee mi naweza ku supply hata zaidi ya hapo tuwasiliane 0787 999 851
 
1471116899771.jpg
 
Back
Top Bottom