Mashine ya passport na camera vinauzwa

Mashine ya passport na camera vinauzwa

imanihope

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
384
Reaction score
98
M
1470141759579.jpg

Mashine na camera vinauzwa
Nilinunua kwa ajili ya matumiz binafsi na nishamalizia kazi,
Laki 3,nipo gongolamboto 0713715772
 
Oya minataka hy mashine ya kusafishia tu jje bei gn utaniuzia 0659865639
 
mzee hiyo mashine peke yake ni 120,000 /=
mpyaa kwenye box canon na hiyo camera uliyo weka haizidi 14 pixel ambapo ukipigwa sana ni 60,000/= istoshe umesha pigia hela kwa hiyo kz binafsi weka bei vizur na wenzio wapate kula
 
Asante mkuu,hiyo ndio bei yangu elekezi
 
mzee hiyo mashine peke yake ni 120,000 /=
mpyaa kwenye box canon na hiyo camera uliyo weka haizidi 14 pixel ambapo ukipigwa sana ni 60,000/= istoshe umesha pigia hela kwa hiyo kz binafsi weka bei vizur na wenzio wapate kula
Wapi vyauzwa kiongozi kwa iyo bei ulio sema
 
mzee hiyo mashine peke yake ni 120,000 /=
mpyaa kwenye box canon na hiyo camera uliyo weka haizidi 14 pixel ambapo ukipigwa sana ni 60,000/= istoshe umesha pigia hela kwa hiyo kz binafsi weka bei vizur na wenzio wapate kula
Kama hununui acha wenye uhitaji... Sio lazma unye kwenye kila kichaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom