Anahitajika House cleaner

Anahitajika House cleaner

nosspass

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
5,815
Reaction score
4,794
Nahitaji mwanadada mtu mzima, anayejielewa na si msichana,wa kufanya usafi nyumbani, mara mbili kwa juma, kufua, kupiga pasi, kufanya usafi wa jumla wa nyumba, haswa ndani na kuosha vyombo....GOBA....@senior bachelor.
 
Uwe makini na utakaoletewa au kuja wenyewe...dunia imeharibika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom