Nikolaevich
Member
- Oct 5, 2013
- 37
- 9
Wadau, naomba kujuzwa kama hapa dar kuna kampuni yoyote inayotambulika na kuuza vifaranga vya kuku wa mayai, hasa wale wekundu, kuna mtu nilisikia alisema kuna hawa jamaa amadori but sina contact zao na nimeshindwa kuwapata, please msaada mwenye kufahamu