Kwa mpangaju wa faster Chumba na Sebule....

Vieloon

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,520
Reaction score
695
Sehemu:Tabata kimanga.
Hali ya Nyumba: ya kisasa, parking kubwa, full ukuta, Maji, umeme kila kitu swafi yaani.
Nyumba iko pouwa wote wanaokaa wajanja...wazee hawatakiwi na waswahili hawatakiwi. Na hakuna sharti jingne.

Bei: 90k kwa mwezi...miez sita fresh nachukua. Habari za kulipia miez mi3 mi3 nenda NHC....
# 0654776976
 
Umeandika tangazo kwa lugha ya kiswahili..

Tangazo hilo lililoandikwa kwa kiswahili linawakataa waswahili..

Kazi kwelikweli..
 
90k ni bei gani mkuu? Vipi umbali wake kutoka barabarani (kituo cha dala dala) ?
 
Umeandika tangazo kwa lugha ya kiswahili..

Tangazo hilo lililoandikwa kwa kiswahili linawakataa waswahili..

Kazi kwelikweli..
Waswahili mshaanza uswahili...heh heh heh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom