Nelson Kapaya
Member
- Aug 7, 2014
- 99
- 15
Anaejua bei ya dagaa Dar anijuze.
Pia naitaji kujua debe moja ya dagaa ina kilo gap? Coz Mwanza wanauza kwa debe Dar kwa kilo.