Natafuta fundi mzuri wa TV Nina TV yangu LG 46" inawaka kwa kumwekuamwekua baadae inakaa sawa. Ila inaonyesha kama imeongeza mwanga na picha unaona kwa mbali kama kuna ukungu hivi wanajamii.
hi wana jf kwa mwana jf yeyote ambaye anauza blog kwa bei ya sh 10,000 so zaid ya hapo iliyo fresh anibip kwa namba 0678895505 mimi nitamshukia hewani tufanye biashara fastaaa!!!!!!!!!!!!!!
Habari wana JF?
Nashawishika kumiliki Blog lakini sina uelewa wowote kuhusu mambo ya hizo blogs.
Naomba kujuzwa yafuatayo kabla sijachukua uamuzi;
1. Jinsi ya kufungua hiyo blog
2. Jinsi ya...
Nauza asali kutoka tabora ya nyuki wakubwa kwa bei rahisi napatikana dar es salaam...kuanzia litre moja, tano hadi ishirini ... unaweza nitext pm kwa ajili ya bei ...pia napatikana kwa mawasiliano...
Nauza kuku wa kienyeji mtetea waliyotayar kuanza kutaga kwa sh 12,000 tu
Wapo 11
Tuwasiliane kupitia 0758728258
Napatikana dar es salaam,nyuma ya ubungo plaza
NATAFUTA CHUMBA SELF CONTAINED NA SEBURE, LUKU YA KUJITEGEMEA NA MAJI YAWEPO 24/7.
ENEO - KIGAMBONI.
CALL:- 0653242627
BEI: 150,000 - 180,000/= KWA MWEZI.
Site ya Kujenga Mnara wa simu(available for LEASE) Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power)
Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site.
Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili...
GARI TAJWA INAUZWA KWA TSHS. 5,500,000/= PUNGUFU UNAONGEA, GARI IPO KATIKA HALI NZURI NA INA KILOMETA 180,000. NIMEAMBATANISHA NA PICHA ZA GARI.
KWA MAWASILIANO: 0716 00 23 23 FRANK JB
Nauza cm nokia lumia 525 kwa bei poa ya sh 120000.
Cm ina internal memory na extenal memory.
Internal ina 7gb.
Extenal ina 2gb
Pia inakamera kali sana. Njoo inbox au piga 0657623266
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.