Natafuta simu used arusha

Danny Massawe

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,276
2,000
Natafuta moja kati ya hizi simu.
Tecno C9, PHANTOM 5 au 6, Samsung A7, Sony xperia z2 au z3,Huawei p8.

Muuzaji awe Arusha
Sms, 0673229342 au ni pm
 

Tanki

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
449
250
Hii ninayotumia hapa ni Huawei P6. ina miezi minne tu. Leta 200,000
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom